價格:免費
更新日期:2018-08-28
檔案大小:4.0M
目前版本:RD-2.20.3
版本需求:Android 4.1 以上版本
官方網站:http://cloudsfm.com
Email:rubega.musik@gmail.com
聯絡地址:Mwanza, Tanzania
Sikiliza vipindi vya Clouds FM Radio live kupitia app hii popote ulipo duniani.
Usipitwe na vipindi kama
- Power Breakfast
- Leo Tena
- XXL
- Jahazi
- Amplifya
-Sports Xtra
- Ala Za Roho
N.B
App hii sio rasmi, hajaidhinishwa na Clouds Media imetolewa kwaajili ya wasikilizaji wa Clouds FM ambao wanatamani kupata vipindi vyao kwa ukaribu zaidi. Maudhui yote yanayorushwa ndani ya app ni mali ya Clouds Media sisi tume-share link kwa watu waweze kusikiliza tu.